1 Kings 13:6

6 aKisha mfalme akamwambia mtu wa Mungu, “Niombee kwa Bwana Mwenyezi Mungu wako ili mkono wangu upate kupona.” Kwa hiyo mtu wa Mungu akamwombea kwa Bwana, nao mkono wa mfalme ukapona na kuwa kama ulivyokuwa hapo kwanza.

Copyright information for SwhKC